Utumwa katika mapenz in pale ambapo mtu anampenda mtu kuliko anavyojipenda mwenyewe, mpaka inafikia hatua ambayo akikosewa na yule ampendaye badala ya yeye aombwe msamaha anaomba yeye msamaha ilihari yeye ndiyo kakosewa. Ukifikia hatua hiyo basi tambua hayo siyo mapenzi Bali ni utumwa. Achana na mahusiano hayo. Anza kujipenda mwenyewe kwanza ili usijeteseka au usijeteswa na mapenzi
0 Comments